Independent Television Ltd
Business News
Watu wanne wamefariki dunia papo hapo wakiwemo madereva wawili baada ya kutokea kwa ajali mbaya iliyohusisha kugongana uso kwa uso kwa malori ya mizigo katika eneo la sangasanga wilayani mvomero, barabara kuu ya Morogoro-Iringa. ITV imefika eneo la tukio na kukuta jitihada za kunasua miili ya watu Read More
 Taasisi ya sekta binafsi nchini(TPSF) imesema shughuli za biashara zisizokuwa rasmi zinaendelea kukuwa kwa kasi kutokana na nakukumbwa na changamoto Read More
 Mfuko wa akiba wa GEPF umesema baaada ya bunge la jamhuri  kupitisha sheria mpya ya mfuko huo  utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu Read More
 Waziri wa viwanda na biashara dokta Abdallah Kigoda ametaka tasisi kubwa zinazoshughulika na masuala ya biashara na uwekezaji kukutana na mamlaka Read More
 Mamlaka ya mapato nchini TRA imesema asilimia kumi tu ya ushuru wa forodha inayotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa bara toka Zanzibar na si kwamba zinatozwa Read More
 Waziri wa viwanda na biashara Dr. Abdalah Kigoda amezindua kiwanda cha kutengeneza pikipiki za magurudumu matatu  chini ya mamlaka ya uwekezaji Read More
 Takwimu zinaonyesha kuwa kumekuwa na viashiria chanya katika soko la hisa la Dar es Salaam ,ambapo limekuwa kutoka bilioni 51 mwaka jana na kufikia Read More
 Soko la Katani ya Tanzania nchini Marekani limedorora kufuatia kuibuka ushindani mkali kutoka Brazil huku kimbilio la katani ya Tanzania likibaki Read More
 Mamlaka ya kodi Tanzania - TRA imewataka wafanyabiashara wa kati kuanza kutumia mashine za kielectonic kwa hiari ili kutunza kumbukumbu za biashara Read More
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather