Independent Television Ltd
TPSF yasema zipo changamoto zinazokabili shughuli za kibiashara kwenye soko la Afrika Mashariki.

 Taasisi ya sekta binafsi nchini(TPSF) imesema shughuli za biashara zisizokuwa rasmi zinaendelea kukuwa kwa kasi kutokana na nakukumbwa na changamoto mbalimbali ambazo zinahitaji kupatiwa ufumbuzi hasa biashara za kuvuka mipaka ya nchi hususani soko la Afrika Mashariki ambapo fursa za kibiashara zimeendelea kujitokeza.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za wateja, TPSF, Bwana Louis Accaro wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusiana na changamoto zinazokabili shughuli za biashara na uwekezaji katika soko la pamoja la Afrika ya Mashariki.
 
Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuelekea uchumi wa viwanda. Je mfumo wa elimu umebadilika kujibu mahitaji ya nchi
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather