Independent Television Ltd
TRA imewataka wafanyabiashara wa kati kuanza kutumia mashine za kielectronic kwa hiari.

 Mamlaka ya kodi Tanzania - TRA imewataka wafanyabiashara wa kati kuanza kutumia mashine za kielectonic kwa hiari ili kutunza kumbukumbu za biashara na mauzo kabla ya muda uliowekwa na serikali kumalizika.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuelekea uchumi wa viwanda. Je mfumo wa elimu umebadilika kujibu mahitaji ya nchi
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather