Independent Television Ltd
Soko la Katani ya Tanzania nchini Marekani limedorora

 Soko la Katani ya Tanzania nchini Marekani limedorora kufuatia kuibuka ushindani mkali kutoka Brazil huku kimbilio la katani ya Tanzania likibaki nchi za Afrika na Asia.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Watu wanaoendelea kukaidi agizo la kuwataka wasifanye shughuli za kibinaadam katika vyanzo vya maji. Je,adhabu ziongezwe ili kukomesha tabia hiyo?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather