Independent Television Ltd
Soko la hisa la Dar es Salaam limekuwa kutoka Bil. 51 kufikia Bil. 88

 Takwimu zinaonyesha kuwa kumekuwa na viashiria chanya katika soko la hisa la Dar es Salaam ,ambapo limekuwa kutoka bilioni 51 mwaka jana na kufikia bilioni 88 mwaka huu,huku mauzo kwa wiki iliyopita yakifikia bilioni 2.2.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Walioshiriki mashindano ya jumuiya ya madola kurejea na ushindi mdogo. Je michuano hii inapewa kipaumbele
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather