Independent Television Ltd
Dr. Kigoda amezindua kiwanda cha kutengeneza pikipiki za magurudumu matatu.

 Waziri wa viwanda na biashara Dr. Abdalah Kigoda amezindua kiwanda cha kutengeneza pikipiki za magurudumu matatu  chini ya mamlaka ya uwekezaji  wa ukanda maalum EPZA kinachotumia asilimia kubwa ya maligafi za hapa nchini na kuahidi kuendelea kuboresha mazingira kwa wawekezaji wengi zaidi kwenye sekta ya viwanda.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather