Independent Television Ltd
GEPF umesema utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa mafao ya muda mrefu

 Mfuko wa akiba wa GEPF umesema baaada ya bunge la jamhuri  kupitisha sheria mpya ya mfuko huo  utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa mafao ya muda mrefu huku mfuko huo ukifikisha thamani ya shilingi bilioni 198.38  ukiwa na wanachama zaidi ya 62,000.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Watu wanaoendelea kukaidi agizo la kuwataka wasifanye shughuli za kibinaadam katika vyanzo vya maji. Je,adhabu ziongezwe ili kukomesha tabia hiyo?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather