Back to top

News

Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata Abdulshahib Hegga, maarufu kwa jina la @official_gb64, kwenye mtandao wa Instagram, kwa tuhuma za kuhamasisha watu kufanya vurugu katika mchezo wa Yanga na Simba.....