Independent Television Ltd
ISIDINGO THE NEED

1:30 USIKU Fuatilia tamthilia ya ISIDINGO THE NEED,Zukisa amuomba Lincoln amruhusu aishi kwake kwa muda.Tyson kaka wa Katlego awakuta katika hali inayompa mashaka.Na Rajesh avutana na Eddie suala la kusafisha jina lake kutokana na kashfa ya udhalilishaji.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuanza rasmi ujenzi wa bomba la mafuta mwezi Julai. Je, Watanzania wanaelimishwa kunufaika na fursa za mradi huo ?
Ndiyo
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather