Independent Television Ltd
DAKIKA 45

3:05 USIKU Usikose kuangalia kipindi cha DAKIKA 45 leo mtangazaji wako Sam Mahela atakuwa na Waziri wa Habari,Utamaduni Vijana na Michezo Mh. Nape Nnauye akizungumzia muswada wa habari.Je,unakidhi matakwa ya vyombo vya habari na wanahabari?.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuelekea uchumi wa viwanda. Je mfumo wa elimu umebadilika kujibu mahitaji ya nchi
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather