Independent Television Ltd
KIPIMAJOTO

3:05 USIKU Katika kipindi cha KIPIMAJOTO kinachokujia mubashara kutoka studio mada ya leo “ Kuendelea kuibuka migogoro ya ardhi licha ya hatua zinazochukuliwa. Je, nini suluhisho la kudumu la tatizo hili?”.Watazamaji mnakaribishwa kupiga kupiga simu na kuuliza maswali au kutoa  ushauri kwa jopo letu.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather