Independent Television Ltd
UCHUMI NA BIASHARA

1:00 USIKU Katika UCHUMI NA BIASHARA fuatilia suala zima la uchumi na biashara ndani na nje ya nchi masuala mazima ya uchumi, mfumuko wa bei, mzunguko wa fedha, uuzaji mazao kipindi kikiongozwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe nguli wa uchumi Prof. Honest Ngowi atakuwa na Dk. Fredrick Msemwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba za Watumishi wa Umma mada ikiwa “ Umuhimu wa Sekta ya Nyumba katika Uchumi?.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Maandalizi ya timu za taifa katika mashindnao ya kimataifa. Je yamewekewa utaratibu kupata timu bora?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather