Independent Television Ltd
ISIDINGO THE NEED.

1:30 USIKU Ofa ya Barker Haines kwenye familia ya Sechaba Moloi kwaiweka familia hiyo kwenye ugomvi mkubwa.Kuna wanaotaka pesa na wengine hawataki.Na Wendy ampa ushauri mzito sana Nikiwe.Hii ni tamthilia ya kusisimua ya ISIDINGO THE NEED.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather