Independent Television Ltd
Local News
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Felchesmi Mramba. Kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua Dkt.Tito Esau Mwinuka kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.   Kabla ya uteuzi huo Dkt.Tito Esau Mwinuka alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu Read More
ITV SHOWS
Kipima Joto
Watu wanaoendelea kukaidi agizo la kuwataka wasifanye shughuli za kibinaadam katika vyanzo vya maji. Je,adhabu ziongezwe ili kukomesha tabia hiyo?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather