Back to top

News

Mtumishi wa DAWASA Kibamba, alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Ubungo, kulipa faini ya kiasi cha Tshs. 1,000,000/= na kurejesha fedha kiasi cha Tshs. 297,000/= ambazo alizipokea kutoka kwa mlalamikaji, ikiwa ni fedha za rushwa.