Wananchi wameshauriwa kuchagua viongozi waadilifu kwa ustawi na maendeleo ya taifa , katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu.