Back to top

News

Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa za ndege yake aina ya Boeing 787-8, yenye usajili namba 5H-TCJ, kupelekwa kwenye matengenezo makubwa (Check - C), kabla ya kufikisha muda wake tangu inunuliwe na kutelekezwa nchini Malaysia.......