Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mpango mpya wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kununua vitendea kazi ikiwemo magari 100, bajaji 100 na pikipiki 284, hatua inayolenga kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma bila..............................