Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, amewasili Moscow, nchini Urusi, ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi unaofanyika kuanzia leo Oktoba 28 hadi 29, 2026.

