Jumla ya wananchi 2,774,495 wakiwemo wanawake 1,390,535 na wanaume 1,381,960, wamepatiwa huduma za Msaada wa Kisheria tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa upande wa Tanzania Bara mwezi Machi 2023.