Jopo la Wataalam kutoka Wizara ya Maji limewasili Nanja ,wilayani Monduli ,mkoa wa Arusha, tayari kwa kuanza kazi ya kujenga bwawa lililobomolewa na maji .