Jeshi la Magereza nchini limetekeleza agizo la Serikali la matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100 suala linaloifanya jeshi hilo kujikinga na athari zinazotokana na nishati isiyo safi...............................

