Back to top

News

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega, amesema Mpango wa Taifa wa Miaka 5 wa Kuhifadhi Kasa wa Baharini ambao ameuzindua mapema leo ukitekelezwa ipasavyo utasaidia kuwalinda Kasa hao ambao wapo hatarini kutoweka.