Independent Television Ltd
Wananchi watakiwa kujihusisha na ufugaji wa Nyuki wilayani Kilindi.

Wananchi wilayani Kilindi wametakiwa kujihusisha na ufugaji wa Nyuki kwani kwa kufanya hivyo watakuwa pia wameyatunza mazingira yao kwa kuwa ufugaji wa Nyuki huhitaji mazingira bora na hivyo wananchi hao hawatajihusisha na uchomaji wa misitu hali itakayopelekea pia kupata kipato kutokana na ufugaji  huo.

Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya Kilindi wakati alipotembelea kikundi cha ufugaji Nyuki kilichopo wilayani hapa
 
Hata hivyo wafugaji wa nyuki nao wakazunguzia uhaba wa soko la  asari huku mgurugenzi wa halmashauri hiyo akikiri kuwepo kwa changamoto hio nae mwenyekiti wa halmashsuri hiyo akielezea mkakati wa  kuimarisha ufugaji huo kwani zao hilo linaweza kuwa mkombozi wa wananchi wa wilaya ya kilindi
Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Wakulima kulazimishwa kuuza korosho kinyume na bei elekezi. Je ni utawala bora?
Ndio
Hapana
Vote Now
Results
Weather