Back to top

News

Wakurugenzi wa uzalishaji wa chanjo za mifugo kutoka nchi 25 za Afrika, wamesema uwekezaji uliofanywa na kiwanda cha Hester Biosciences Africa Limited kilichopo katika Eneo la Viwanda la TAMCO, Kibaha Mkoa wa Pwani,  ni wa kimkakati na una nafasi kubwa ya kuleta mapinduzi katika sekta ya mifugo si tu nchini Tanzania, bali barani Afrika kwa ujumla.