Back to top

News

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.Abdallah Ulega, amewataka maafisa ugani wa mifugo kote nchini kuwa wabunifu na kuweka mikakati ya kudumu kuhakikisha katika maeneo wanayofanyia kazi wanawasaidia wafugaji kuzalisha malisho kwa ajili ya mifugo yao.