Independent Television Ltd
Wakazi wa DSM wamejitokeza kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu George Tyason

 Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwemo wasanii  wamejitokeza katika uwanja wa Leader Kinondoni  kwa ajili ya kuaga mwili wa mwongoza filamu marehemu George Otieno Tyason ambaye anatarajiwa kusafirIshwa kesho kueleke Kisumu Kenya kwa ajili ya maziko.

Akizungumza wakati wa  kuanga mwili wa marehemu tayon mkuu wa mkoa wa dar es salaam meck sadik amewataka wasani wote kuendeleza kazi ailiyokuwa anifanya  marehemu tayson ambae alikuwa ni miongoni wa wanamagueuzi katika tasnia ya filamu.

Mkuu huyo wa mkoa wa dar es salaam amewataka wasanii kuendeleleza mshikamo wao kwa kujena  uwezo wa kifedha ambao utawawezesha kufanya kazi zenye  viwango vinayotakiwa.

Nae  rais wa shirikisho la filamu saimon mwakifamba  amesema  marehemu yayson alikuwa na mchango mkubwa katika katika kuelta mabadilio katika tasnia ya filamu ambapo  kazi za wasnii zimeanza  kuonekana katika sura mpya tofauti na hapo awali.

Marehemu  tyson alifariki ijumaa usiku  katika ajili ya gari iliyotokea katika eneo la gairo morogoro alipokuwa akitoka dodoma na timu ya the mboni show kuto msaada wa madawati katika shule moja ya msingi.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Kuelekea uchumi wa viwanda. Je mfumo wa elimu umebadilika kujibu mahitaji ya nchi
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather