Independent Television Ltd
Yanga imeifunga JKT Ruvu 1 0 ligi kuu ya Vodacom.

 Ligi kuu ya Vodacom imendelea leo katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga imetoka kifua mbele baada ya kuifunga timu ya JKT Ruvu bao moja kwa bila.

Katika mchezo huo kila timu ilicheza kwa tahadhari hadi mapumziko hakuna timu iliyokuwa imeona lango la mwenzake baada ya mpumziko Yanga ilifanikiwa kupata bao lake la kwanza katika dakika ya 27 kupitia kwa mchezaji wake Hamisi Kiiza baada ya kupata pasi kutoka kwa Mrisho Ngasa.

Baada ya bao hilo lilolofungwa na Hamisi Kiiza kila timu ilendelea kucheza kwa tahadhari hadi mwisho wa mchezo huo  kwa matokeo hayo Yanga imefikisha point .

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather