Independent Television Ltd
Yanga na Simba zatoka sare ya mabao 3 3 ligi kuu ya Tanzania bara.

 Ligi kuu ya soka Tanzania bara imendelea leo katika uwanja wa Taifa kwa timu za Simba na Yanga kutoka sara ya bao 3-3.

Katika mchezo wa leo timu ya Yanga ilitawala karibu kipindi chote cha kwanza huku Simba ikizidiwa nguvu na Yanga iliweza kujipatia magoli yake matatu kupitia kwa wachezaji wake Mrisho Ngasa aliyefunga goli moja wakati Hamisi Kiza alifunga magoli mawili.

Kipindicha cha pili Simba ilibadilika na kushambulia ambapo walicheza mpira wa nguvu huku Yanga wakionekana kuzidiwa nguvu  hivyo Simba waliweza kusawazisha magoli yote matatu yaliyofungwa na Betram Mwombeki,Josphe Owino na Golbert Kaze.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather