Independent Television Ltd
Kilimanjaro Stars imeshindwa kupata nafasi ya 3 ktk Cecafa Challenge.

 Timu ya taifa ya Tanzania bara (Kilimanjaro Stars) kwa mara nyingine imeshindwa kupata nafasi ya tatu katika michuno ya Cecafa challenge iliyomalizika leo nchini Kenya.

Shaha wa malengo akina muyanka binti hadji,shafi adam shafi,siti binti saady,watunzi wa riwaya kama akina ngugi wadhiongo na akina shaaban robert mlituasa kwa mengi lakini nakumbuka sana titi la mama litamu lingine haliishi mkitutaka kuondokana na utumwa wa fikra na kupenda vyakwetu,nami nafanya hivyo.

Kilimanjaro stars kama iliyokuwa mwaka jana imegota katika nafasi ya nne ya michuano ya cecafa chalenj cup baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penalti 7 kwa 6 lakini shujaa akionekena kuwa golikipa ivo mapunda aliyepangua mkwaju mmoja wa penalti lakini mrisho ngasa na calvin yondan wakakosa mikwaju yao ya penalti.

Katika mchezo wa dakika tisini timu hizo zilimaliza ungwe kwa kufuangana bao moja kwa moja ronald kampamba aliipatia zambia bao la awali lakini bwana samata akiisawazishia stars kwa guu la kushoto .

Kwa matokeo hayo sasa stars imeshika nafasi ya nne huku zambia ikichukua nafasi ya tatu.matokeo hayo si mageni kwa timu ya taifa ya tanzania iliyopewa majina kemkem kutokana na matokeo kama hayo na bado tunajiuliza ni nani anayetukwamisha? Tunahitaji mjadala wa kitaifa kujadili hali ya afya ya timu ya taifa kwani waganga wa ardhini na hewani wote hawaoni maradhi,hali ya mgonjwa ni dhohofu,tumempa shuribi bado ni dhohofu,yake matokeo makubwa sasa yhamie katika michezo ..

 

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Utaratibu wa viongozi kukutana na wananchi kusikiliza kero zao. Je, utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa watendaji serikalini?
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather