Independent Television Ltd
Warioba ameongea na Dakika 45 kuhusu mchakato wa katiba mpyana hii ni sehemu ya pili

 Hii ni sehemu ya pili ya kipindi cha DAKIKA 45 ambapo mtangazaji wenu Emmanuel Buhohela ameongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, akizungumzia rasimu ya katiba na changamoto za wajumbe wa bunge maalum la katiba.

Comments
Be the first to comment
ITV SHOWS
Kipima Joto
Vyakula vya mifugo kuingia sokoni bila kuthibitishwa ubora. Je mamlaka ziwajibike kwa athari zinazojitokeza
Ndio
Hapana
Sijui
Vote Now
Results
Weather