Back to top

Ahukumiwa miaka 140 jela kwa kuwanajisi wanawe.

14 January 2021
Share

Mwanaumme mmoja John Gicini amehukumiwa  kifungo cha miaka 140 jela  baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi wanawe wawili wa kike.
.
Gicini alikiri kufanya kosa hilo eneo la Ndia, Kaunti ya Kirinyaga na atatumikia   kifungo cha miaka 70 kwa kila kosa dhidi ya  watoto hao waliopata ujauzito kufuatia unyama huo na kufanya jumla ya miaka 140 ya kifungo.