Back to top

Anayedaiwa kumuua na kumfukia mkewe mikononi mwa polisi.

16 June 2020
Share

Jeshi la polisi wilayani Manyoni mkoani Singida linamshikilia Yusufu Abdallah mkazi wa Kitongoji cha Tambukareli kwa tuhuma za kumuua mkewe Bi.Neema Vicent na kumfukia kwenye makaburi ya zamani kwa zaidi ya siku arobaini huku ndugu wakihangaika kumtafuta bila mafanikio.

Mwili wa marehemu Bi.Neema Vicent umefukuliwa katika makaburi ya zamani yaliyopo kitongoji cha Kipondoda .