Back to top

CEORT kuendelea kuchangia sera bora kiuchumi

13 June 2018
Share

Umoja wa Maofisa watendaji wakuu wa kampuni binafsi nchini CEO Roundtable umemtambulisha Mwenyekiti mpya wa jukwaa hilo Sanjay Rughani huku ikiahidi kuendeleza ushirikiano katika uanzishwaji wa mawazo yatayochangia kusaidia uundwaji wa sera zenye mchango katika ukuaji wa uchumi nchini.

Nimekuwekea Video hapo chini kuona na taarifa zingine.