Back to top

Chelsea kutoa ofa kwa Aurélien Tchouaméni.

21 September 2021
Share

Chelsea imeonesha nia ya kutoa ofa nzuri kwa kiungo wa Monaco, Aurélien Tchouaméni (21), kujiunga na Stanford Bridge, huku Juventus nao wakionekana kuvutiwa na mchezaji huyo raia wa Ufaransa.
.
United pia inaangalia kwa ukaribu kumsainisha Jude Bellingham baada ya kumvutia kiungo huyo wa Uingereza katika ziara waliyoifanya kabla hajaamua kuhamia Borussia Dortmund.