Back to top

News

Viongozi wawili wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tarime mkoani Mara,wanashiliwa na Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Tarime na Rorya kwa tuhuma za kumfanyia fujo Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Hamis Kigwangalla.