Back to top

Exclusive:Warioba ndani ya konani ya ITV/ kugusia mchakato wa katiba.

10 February 2020
Share

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na #KONANI ya ITV kwenye mahojiano maalum yanayoruka kupitia kurasa zake za Facebook na Youtube, ambapo leo Tutajadili mengi ikiwemo 'Maisha yake kisiasa na pia mchakato mzima wa maboresho na marekebisho ya katiba.

Unaweza kukitizama kipindi hiki kupitia Youtube hapo, kipo mubashara muda huu.