Back to top

Faini isiyozidi Shilingi 500 kikwazo kumalizika kwa Uchangudoa.

14 September 2018
Share

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Hammad Massauni amesema  sheria zilizopitwa na wakati ni chanzo cha biashara ya uchagudoa kuendelea, ambapo mtu anayefanya biashara hiyo akikamatwa hutakiwa kulipa faini isiyozidi Shilingi 500.


Kutokana na hali hiyo, ameliomba Bunge kufanya marekebisho ya sheria hiyo inayompa unafuu mtu anayefanya biashara ya uchangudoa