Back to top

Gunia 140 za bangi zateketezwa wilayani Arumeru

02 July 2020
Share

Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini wakishirikiama na jeshi la polisi mkoa wa Arusha wamekamata na kuteketeza zaidi ya gunia 140 za bangi katika operesheni uliyofanywa kwenye kijiji cha Longlong wilayani Arumeru.


Katika Operesheni hiyo ilianza majira ya usiku katika vijiji vya wilaya ya Arumeru mbali na dawa hizo pia imefanikishwa kukamata watu wawili wanaotuhumiwa kukutwa na dawa hizo.