Back to top

Idadi ya vifo ajali ya lori la mafuta Moro yaongezeka yafikia 97

19 August 2019
Share

Idadi ya vifo kutokana na ajali ya lori la mafuta lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro imeongezeka na kufikia 97 baada ya majeruhi wengine wawili kufariki leo.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Hospitali ya Muhimbili, Aminieli Aligaesha

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Hospitali ya Muhimbili, Aminieli Aligaesha athibitisha kutokea kwa vifo hivyo alipokuwa akizungumza na ITV, nakusema kwambaI walipokea majeruhi 47 kati yao 29 wamefariki mapak sasa huku wakiwa wamebaki na maeruhi 18 ambao wote wapo ICU.

Bonyeza video hapa kujua taarifa hii.