Back to top

Idris Sultan amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

27 May 2020
Share


Msanii wa vichekesho Idris Sultan amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili na bondi ya shilingi milioni 15,000,000/

Idris alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi leo Mei 27, 2020 na mwenzake Innocent Maiga ambapo Idris anatuhumiwa  kumiliki laini ya simu ya Maiga, huku Maiga akituhumiwa kushindwa kuripoti mabadiliko ya umiliki wa laini hiyo.

Kesi itatajwa tena Juni 09, 2020