Back to top

IOM yatoa msaada wa vifaa kwa Wizara ya mambo ya ndani nchini.

21 January 2019
Share

Wizara ya Mambo ya Ndani imepokea Vifaa kutoka kwa Shirika la Uhamiaji Duniani (IOM) vyenye thamani ya dola za Kimarekani elfu 30.

Akizungumza baada ya kupokea vifaa hivyo, Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Hamad Masauni, amesema vifaa hivyo ni maalum kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika maeneo ya mipaka ya nchini.