Back to top

Israel imesema imeanza kushambulia maeneo yanayodhibitiwa na Iran

21 January 2019
Share

Kikosi cha ulinzi Israel (IDF) kinasema operesheni yake ni dhidi ya kikosi cha Quds - kikosi maalum katika jeshi la mapinduzi la Iran.Haikutoa ufafanuzi zaidi. 

Lakini kuna taarifa kuhusu makombora yaliofyetuliwa katika maeneo yanayo uzunguka mji mkuu wa Syria, Damascus mapema Jumatatu.

Vyombo vya habari nchini Syria vinasema vikosi vya ulinzi wa angani vimezuia 'shambulio la Israel'katika eneo la Golan Heights.