Back to top

"Jinai dhidi ya binadamu zilifanywa na wanajeshi"-Bi.Michelle

05 March 2021
Share

ambazo zinaweza kuwa jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zilizofanywa na wanajeshi wa Ethiopia na Eritrea katika eneo la Tigray.

Bi.Michelle Bachelet amebanisha hayo katika taarifa ambapo ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa hali ya eneo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia, ambalo limeshuhudia mapigano kwa miezi kadhaa.