Back to top

Kesi ya Mbowe na Matiko yaahirishwa kwa nusu saa.

30 November 2018
Share

Upande wa Jamhuri umekata rufaa mahakama ya rufani juu ya uamuzi mdogo wa mahakama kuu uliotolewa asubuhi  wa kusikiliza maombi ya rufaa ya dhamana ya Mhe.Freeman mbowe na Mhe.Esther matiko.

Baada ya kusikiliza pande zote mbili Jaji Sam Rumanyika amehairisha kesi kwa nusu saa ili kuja kutoa uamuzi kama mahakama kuu iendelee kusikiliza rufaa hiyo au kusubiri uamuzi wa mahakama ya rufani