Back to top

Kifua Kikuu bado ni tatizo nchini.

14 January 2019
Share

Waziri wa afya maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Mhe.Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugonjwa wa kifua kikuu hapa nchini bado ni tatizo ambalo limeendelea kuikabili jamii kwa sasa.

Mhe.Ummy Mwalimu amesema hayo wakati akigawa magari na pikipiki kwa waganga wakuu wa mikoa kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu hapa nchini.