Back to top

Kikosi cha timu ya wasichana U17 cha wasili Uganda.

13 March 2020
Share


Kikosi cha timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 kimewasili salama nchini Uganda tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia.

Mchezo huo wa marudiano utapigwa jumamosi machi 14 huku mchezo wa kwanza kati ya Tanzania na Uganda uliopigwa uwanja wa taifa Tanzania ilishinda kwa mabao 2-1.