Back to top

Kimbunga Bronagn chaathiri shughuli za usafiri nchini Uingereza.

21 September 2018
Share

Kimbunga kipya kilichopewa jina la Bronagn kimeathiri shughuli za usafiri nchini Uingereza ikiwa ni siku chache baada ya eneo hilo kukumbwa na Kimbunga kilichopewa jina la Ali.

Polisi nchini humo imeendelea kutoa tahadhari kwa watumiaji wa barabarani nchini humo kuwa huenda safari nyingi zikaahirishwa kutokana na miti kuangukia maeneo ya barabara huku utepe wa rangi ya manjano ukiwekwa kama tahadhara katika maeneo yanayoenekana kuwa ni ya hatari zaidi kuzuia yasitumike na watu.

Mamlaka za hali ya hewa nchini Uingereza zimewatahadharisha wananchi wa eneo hilo kuwa huenda kukawa na madhara makubwa zaidi yatakayosababisha na kimbunga Bronagn