Back to top

Lindi washauriwa kutumia chumvi yenye madini joto

18 August 2019
Share

Mratibu wa lishe mkoani Lindi, Bw.Stephen  Mbwambo, amewashauri wananchi mkoani humo kuona umuhimu wa  kutumia chumvi yenye madini joto ambayo ina faida kubwa mwilini mwa binadamu.

Amesema tatizo la udumavu kwa baadhi ya watoto wadogo mkoani Lindi, linatajwa chanzo chake kikubwa ni jamii kutopenda kutumia chumi iliyowekwa madini joto.