Back to top

News

Juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano ya rais Dkt. John Pombe Magufuli kupambana na ujangili wa Tembo na wanyamapori wengine zinalenga kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uhifadhi mzuri duniani unaochangia katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya taifa